Saminu Kwari Abdullahi (alizaliwa 3 Januari 2001) ni mchezaji wa kandanda wa Nigeria anayechezea klabu ya FC Veles Moscow ya Urusi.

ushiriki Katika Klabu hariri

Abdullahi Alianza kwa mara ya kwanza katika Ligi ya Kitaifa ya Soka ya Urusi katika klabu ya FC Veles Moscow tarehe 31 Julai 2021 katika mchezo dhidi ya klabu ya FC Tom Tomsk. [1]

Marejeo hariri

  1. "Game Report by FNL". 31 July 2021.  Check date values in: |date= (help)

Viungo Vya Nje hariri

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Saminu Abdullahi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.