San Juan Bautista Tuxtepec, Oaxaca

San Juan Bautista Tuxtepec (Kinahuatl: "juu ya kilima cha sungura") ni mji katika jimbo la Oaxaca huko nchini Mexiko. Mwaka wa 2005 ilikuwa na wakazi wapatao 144,555 wanaosihi mjini hapa. Mji upo m 20 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Sehemu ya Mji wa San Juan Bautista Tuxtepec, Oaxaca



San Juan Bautista Tuxtepec
Nchi Mexiko
Jimbo Oaxaca
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 144,555
Tovuti:  www.tuxtepec.gob.mx

Mji ulianzishwa mwaka 1825.

Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu San Juan Bautista Tuxtepec, Oaxaca kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.