Sandra A. Mushi
mwandishi wa kike mtanzania
Sandra Aikaruwa Mushi (alizaliwa 28 Februari 1974) ni mwanamke Mtanzania ambaye ni msanifu wa mambo ya ndani ya majengo na mwanzilishi wa kampuni ya Creative Studios Limited mjini Dar es Salaam, Tanzania.[1] [2].
Sandra A. Mushi | |
---|---|
Alizaliwa | 28 Februari 1974 |
Nchi | Tanzania |
Kazi yake | Msanifu |
Pia ni mwanachama wa International Interior Design Association na The African Institue Of Interior Design Professions[3] na mwandishi wa hadithi[4][5] na mashairi[6] yanayolenga matatizo na changamoto wanazopata wanawake na watoto.
Hadithi zake hariri
Marejeo hariri
- ↑ http://www.sheroes.co.tz/sheroes.html Archived 8 Machi 2019 at the Wayback Machine. iliangaliwa tar 7 March 2019
- ↑ http://www.iidprofessions.org.za/designer-members/professional-interior-designers/sandra-mushi[dead link]
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-11-05. Iliwekwa mnamo 2018-09-24.
- ↑ http://www.authorsden.com/visit/viewshortstories_all.asp?Authorid=28003&order=title&page=1
- ↑ Author - Sandra A. Mushi kwenye tovuti ya www.africanwriter.com, iliangaliwa Septemba 2018
- ↑ http://badilishapoetry.com/sandra-a-mushi/
- ↑ Shattered Dreams: Fiction by Sandra A. Mushi, kwenye tovuti ya www.africanwriter.com, iliangaliwa Septemba 2018
- ↑ Stains on My Khanga, kwenye tovuti ya goodreads.com, iliangaliwa septemba 2018
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Sandra A. Mushi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |