Sebaldi wa Nurnberg

Sebaldi wa Nurnberg alikuwa mkaapweke[1][2] na labda mmisionari huko Nurnberg[3], Bavaria, leo nchini Ujerumani, katika karne ya 9 au karne ya 10 hivi[4].

Mt. Sebaldi alivyochorwa na Sebastiano del Piombo.

Anaheshimiwa kama mtakatifu hasa baada ya kutangazwa na Papa Martin V tarehe 26 Machi 1465.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 19 Agosti[5].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

  • Collins, David J. "The Holy Recluses." In Reforming Saints: Saints' Lives and Their Authors in Germany, 1470-1530, pp. 51–74. Oxford Studies in Historical Theology. Oxford: Oxford University Press, 2008.

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.