Sebi
Sebi (625 hivi - 695) alikuwa mfalme wa Essex (leo nchini Uingereza) tangu mwaka 664 hadi 694.
Alishika imani ya Kikristo bila kujali lawama za Wapagani, na hatimaye alipojiuzulu alijiunga na monasteri hadi kifo chake [1].
Anaheshimiwa na baadhi ya madhehebu ya Ukristo kama mtakatifu.
Tazama pia hariri
Tanbihi hariri
Viungo vya nje hariri
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |