Selena
Selena (jina la kuzaliwa Selena Quintanilla; Lake Jackson, 16 Aprili 1971 - Corpus Christi, Texas, 31 Machi 1995) alikuwa mwimbaji wa muziki aina ya Tejanopop. Mara nyingi huitwa "Malkia wa Tejano muziki".
Selena | |
---|---|
Selena
| |
Maelezo ya awali | |
Jina la kuzaliwa | Selena Quintanilla-Perez |
Amezaliwa | 16 Aprili 1971 Lake Jackson, Texas |
Asili yake | US |
Aina ya muziki | Pop, Latin pop, R&B |
Kazi yake | Mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, mwigizaji, mwanamuziki, mtayarishaji wa rekodi |
Ala | Sauti |
Miaka ya kazi | 1984-1995 |
Studio | EMI Records, EMI Latin |
Tovuti | Q-Productions |
Diskografia hariri
Studio Albamu kwa pre-EMI hariri
- 1984: Mis Primeras Grabaciones
- 1985: The New Girl in Town
- 1986: Alpha
- 1987: Munequito de Trapo
- 1987: And the Winner Is...
- 1988: Preciosa
- 1988: Dulce Amor
Studio Albamu kwa EMI Latin hariri
- 1989: Selena
- 1990: Ven Conmigo
- 1992: Entre a Mi Mundo
- 1993: Selena Live!
- 1994: Amor Prohibido
- 1995: Dreaming of You
Viungo vya Nje hariri
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Selena kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |