Selly Galley

Muigizaji wa kike na mtangazaji wa Televisheni wa Ghana

Selly Galley (jina kamili: Selorm Galley-Fiawoo; alizaliwa 25 Septemba 1987) ni mtangazaji wa kwenye runinga na mwigizaji kutoka nchini Ghana, na aliwahi kuwa mshiriki wa Big Brother Africa msimu wa nane.[1][2]

Selly Galley
Amezaliwa Selorm Galley Fiawoo
25 setemba 1987
Ghana
Kazi yake mtangazaji
Miaka ya kazi msimu nane
Ndoa aliolewa na msanii nyota

Maisha Binafsi hariri

Selly aliolewa na msanii nyota wa muziki wa Hip Hop wa nchini Ghana Praye Tietia,.[3][4]

Marejeo hariri

  1. Larbi-Amoah, Lawrencia. "Selly Galley Talks About Mediocre Movie Producers". Ghafla! Ghana (kwa en-US). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-04-05. Iliwekwa mnamo 2018-12-20.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  2. "Big Brother Africa - Eviction Fever Grips Housemates". 2013-05-27. 
  3. Abubakari, Laila (2017-05-04). "I am now ready to have a child - Selly Galley". Yen.com.gh - Ghana news. (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2018-12-20. 
  4. "Photos: Check out the wedding gown of Selly Galley | Entertainment 2015-09-27". www.ghanaweb.com. Iliwekwa mnamo 2018-12-20. 
  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Selly Galley kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.