Selso wa Armagh (pia: Cellach, Selestino; Ireland, 1080 hivi – Ardpatrick, Munster, 1 Aprili 1129) alikuwa askofu mkuu wa Armagh na Ireland yote, wakati Ukristo katika kisiwa hicho ulikuwa umepoa.

Kioo cha rangi katika kanisa kuu la Armagh.

Alipochaguliwa kuwa askofu ingawa bado mlei[1], kama ilivyomtokea babu yake, alichangia sana urekebisho wa Kanisa la huko katika karne ya 12 na kupatanisha watawala[2].

Bernardo wa Clairvaux alimsifu kama mtu mwema na mcha Mungu.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 1 Aprili[3].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

  • Annals of Innisfallen, CELT: Corpus of Electronic Texts, 2000, iliwekwa mnamo 2010-03-19 
  • Annals of the Four Masters, CELT: Corpus of Electronic Texts, 2002, iliwekwa mnamo 2010-03-19 
  • Annals of Ulster AD 431–1201, CELT: Corpus of Electronic Texts, 2003, iliwekwa mnamo 2010-03-19 
  • Chronicon Scotorum, CELT: Corpus of Electronic Texts, 2003, iliwekwa mnamo 2010-03-19 
  • Byrne, Francis John (2001). Irish Kings and High-Kings (toleo la 2). Dublin: Four Courts Press. ISBN 978-1-85182-196-9.  Unknown parameter |url-access= ignored (help)
  • Catholic Online. "St. Cellach". Catholic.org. Iliwekwa mnamo September 24, 2009.  Check date values in: |accessdate= (help)
  • Flanagan, M.T. (2004). "Cellach (1080–1129)". Oxford Dictionary of National Biography. Oxford University Press, 2004. Iliwekwa mnamo 12 April 2010.  Check date values in: |accessdate= (help)
  • Flanagan, Marie Therese (2005), "High-kings with opposition, 1072-1166", katika Ó Cróinín, Dáibhí, Prehistoric and Early Ireland, A New History of Ireland I, Oxford: Oxford University Press, ku. 899–933, ISBN 978-0-19-922665-8 
  • Holland, Martin (2005). "The Ordination of Cellach, "Comarbae" of Patrick, in 1105". Seanchas Ardmhacha: Journal of the Armagh Diocesan Historical Society (Cumann Seanchais Ard Mhacha/ Armagh Diocesan Historical Society) 20 (2): 22. JSTOR 29742750. doi:10.2307/29742750. 
  • Holland, Martin (2005). "Gille (Gilbert) of Limerick". In Seán Duffy. Medieval Ireland. An Encyclopedia. Abingdon and New York. pp. 198–199.
  • Holland, Martin (2005). "Church reform, Twelfth century". In Seán Duffy. Medieval Ireland. An Encyclopedia. Abingdon and New York. pp. 83–86.
  • Ó Fiaich, Tomás (1969). "The Church of Armagh under Lay Control". Seanchas Ardmhacha: Journal of the Armagh Diocesan Historical Society (Cumann Seanchais Ard Mhacha/ Armagh Diocesan Historical Society) 5 (1): 75–127. JSTOR 29740756. doi:10.2307/29740756. 
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.