Severo wa Agde (Tiro, leo nchini Lebanoni, karne ya 5 - Agde, leo nchini Ufaransa, 500/513) alikuwa mmisionari wa Kanisa Katoliki, aliyeongoza kama abati monasteri ambayo aliianzisha ikastawi hadi kuwa na wamonaki zaidi ya 350 [1]

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 25 Agosti[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

  • Fisquet, H. La France pontificale. Repos, 1864.
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.