Shamsa Ford
Mwigizaji wa filamu za birthday
Shamsa Ford (amezaliwa tarehe 31 Julai) ni mwigizaji wa filamu za Kitanzania.
Shamsa Ford | |
Nchi | Tanzania |
---|---|
Kazi yake | Mwigizaji |
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Shamsa Ford kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Kazi hariri
Amepata umaarufu kutokana na kuigiza filamu kama Zawadi ya birthday, Chausiku na nyingine nyingi. Ni mwanzilishi wa Elimu Kwanza, pia ni mfanyabiashara mtendaji mkuu wa madera pambe. [1]
Familia hariri
Shamsa alifunga ndoa na mfanyabiashara mkubwa Rashid Said, maarufu kama Chidi Mapenzi, na ana mtoto mmoja wa kiume aitwae Terry.[2]
Filmografia hariri
Tanbihi hariri
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Shamsa Ford kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |