Kwa matumizi tofauti ya jina hili angalia Shavu na Mashavu (samaki)

Mchoro wa shavu la mkono

Shavu la mkono (kwa Kilatini na Kiingereza: biceps) ni musuli wa kilimbili, sehemu ya juu ya mkono katikati ya kiko na bega.

Makala hii kuhusu mambo ya anatomia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Shavu la mkono kama matumizi yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.