Shirikisho la Mpira wa Kikapu Nigeria

Shirikisho la Mpira wa Kikapu Nigeria[1] (kwa Kiingereza: Nigerian Basketball Federation (NBBF) ni bodi inayosimamia mpira wa kikapu kwa wanaume na wanawake nchini Nigeria. NBBF ilikuwa mshirika wa FIBA afrika tangu mwaka 1963, ofisi zake zinapatikana Abuja na Lagos.[2]

Mashindano ya FIBA hariri

Timu ya wakubwa upande wa wanaume kwa mpira wa kikapu imeshiriki mashindano ya FIBA Afrika mara 17, kama: 1972, 1978, 1980, 1985, 1987, 1992, 1995, 1997, 1999, 2001, 2003, 2005, 2007, 2009, 2011, 2013 na 2015.[3]

Marejeo hariri

  1. "Nigeria Basket Ball Federation". Nigeria Basket Ball Federation (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2022-09-01. 
  2. "Casino Bonuses Nigeria". Casino Bonuses Nigeria (kwa en-US). Iliwekwa mnamo 2022-09-01. 
  3. "History of Basketball in Nigeria". basketball.sitesng.com. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-09-01. Iliwekwa mnamo 2022-09-01.