Shirin Ebadi

Mwanasheria wa Irani, mwanaharakati wa haki za binadamu, na mpokeaji wa Tuzo ya Amani ya Nobel

Shirin Ebadi (amezaliwa 21 Juni, 1947 mjini Hamadan) ni mwanasheria kutoka nchi ya Uajemi. Mwaka wa 2003 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani.

Shirin Ebadi
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Shirin Ebadi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.