Shukuru Kawambwa
(Elekezwa kutoka Shukuru Jumanne Kawambwa)
Dr. Shukuru Jumanne Kawambwa (amezaliwa 15 Desemba 1957) ni Mbunge katika Bunge la Tanzania.[1]
Aliwahi kuwa waziri.
Tanbihi hariri
Chanzo hariri
- Tovuti ya Bunge la Tanzania
Makala hiyo kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |