Siboniso Conco (amezaliwa 2 Machi 1996) ni mchezaji wa soka wa kitaalamu wa Afrika Kusini anayesakata kwa Maritzburg United. Alianza kuchezea timu ya taifa ya Afrika Kusini mwaka 2019.[1][2][3]

Marejeo hariri

  1. [1] at National-Football-Teams.com
  2. Kigezo:Soccerway
  3. Tovuti rasmi ya Golden Arrows
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Siboniso Conco kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.