Sidi Brahim ni kijiji cha mkoa wa Sidi Bel Abbès, Algeria.

Sidi Brahim (Sidi Bel Abbès, Algeria).

Jina la mji huo limetumika kwa mapambano ya Sidi Brahim ya mwaka 1845, kipindi cha vita vya Ufaransa na Algeria.

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Sidi Brahim kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.