Silvano wa Terracina

Silvano wa Terracina (alifariki Terracina, Italia, 444 hivi) alikuwa Mkristo wa Afrika Kaskazini ambaye alikimbia dhuluma za Wavandali Waario pamoja na baba yake, Eleuteri.

Bado kijana alifanywa askofu wa mji huo wa Italia ya Kati kwa miezi michache tu kwa kuwa aliwahi kufariki. Hapo baba yake akawa askofu mahali pake[1].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 10 Februari[2][3].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.