Silvino wa Auchy (Toulouse, leo nchini Ufaransa, 650 hivi - Auchy, Arras, 717/718) alikuwa askofu mmisionari katika Ufaransa kaskazini mashariki anayesemekana kuwa na asili ya Ireland au Uskoti[1] .

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 17 Februari[2][3][4].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. [1]
  2. Martyrologium Romanum
  3. « Prions en Église » - Éditions Bayard - février 2010 - page 7.
  4. nominis.cef.fr Nominis : Saint Sylvin.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.