Sinseka ni matunda ambayo hupatikana mkoa wa Mara, kaskazini mwa Tanzania. Matunda hayo huwa na umbo la duara na pia huwa na rangi ya njano.

Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sinseka kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.