Siriaka wa Nikomedia

Siriaka wa Nikomedia (kwa Kigiriki: Κυριακή, yaani Dominika[1]; Nikomedia, leo Izmit nchini Uturuki, karne ya 3 - Kalsedonia, leo nchini Uturuki, 289 hivi) alikuwa bikira Mkristo aliyefia dini yake katika dhuluma ya kaisari Dioklesyano[2][3] [4].

Picha takatifu ya Mt. Siriaka.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 6 Julai[5] au 7 Julai[6].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. St. Kyriake of Nicomedia, Antiochian Orthodox Christian Archdiocese of North America
  2. "Feast Day of Agia Kyriaki", Greek City Times, July 7, 2020
  3. "Kyriaki the Great Martyr", Greek Orthodox Archdiocese of America
  4. http://www.santiebeati.it/dettaglio/56025
  5. Martyrologium Romanum
  6. Megas, G.A. (1958). Greek Calendar Customs. Press and Information Department, Prime Minister's Office. uk. 140. 

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.