Siyabonga Dube (amezaliwa 12 Oktoba 1995) ni mchezaji wa soka wa Afrika Kusini anayesakata kabumbu kama beki kwa upande wa klabu ya Lamontville Golden Arrows katika South African Premier Division.[1][2]

Marejeo hariri

  1. Kigezo:Soccerway
  2. "Siyabonga Dube". Lamontville Golden Arrows F.C. Iliwekwa mnamo 4 Agosti 2020. 
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Siyabonga Dube kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.