Sofiane Azzedine (alizaliwa 24 Septemba 1980) ni golikipa wa mpira wa miguu wa Algeria anayechezea timu ya MC Alger inayoshiriki ligi ya Algeria Professionnelle. Aliisaidia kwa kiasi kikiubwa timu yake katika kufuzu kwa klabu hadi Fainali ya Kombe la Algeria mnamo 2007.

Ushiriki katika klabu hariri

Mnamo tarehe 21 Januari 2011, Azzedine alisaini mkataba wa miezi 18 na MC Alger.[1]

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sofiane Azzedine kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.