Sokwe Mtu wa Kawaida
Sokwe Mtu wa Kawaida | ||||||||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Sokwe Mtu wa Kawaida
| ||||||||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||||||||
| ||||||||||||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||||||||||||
Nususpishi 4:
| ||||||||||||||||||||||
Msambao wa sokwe mtu wa kawaida: 1. sokwe mtu magharibi, 2. sokwe mtu wa Nijeria, 3. sokwe mtu wa kati, 4. sokwe mtu mashariki.
|
Sokwe Mtu wa Kawaida (Pan troglodytes) ni jina la nyani wakubwa wa familia Hominidae wanaofanana sana na binadamu. Sokwe Mtu wa Kawaida wanaishi katika maeneo ya tropiki ya Afrika.
Nususpishi hariri
- Pan troglodytes, Sokwe Mtu wa Kawaida (Common Chimpanzee)
- Pan t. ellioti, Sokwe Mtu wa Nijeria (Nigeria-Cameroon Chimpanzee: Nijeria na Kameruni)
- Pan t. schweinfurthii, Sokwe Mtu Mashariki (Eastern Chimpanzee: Jamhuri ya Afrika ya Kati, Sudani, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Uganda, Rwanda, Burundi, Tanzania na Zambia)
- Pan t. troglodytes, Sokwe Mtu wa Kati (Central Chimpanzee: Kameruni, Jamhuri ya Afrika ya Kati, Ginekweta, Gaboni, Jamhuri ya Kongo na Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo)
- Pan t. verus, Sokwe Mtu Magharibi (Western Chimpanzee: Senegali, Mali, Gine, Sierra Leone, Liberia, Kodivaa na Ghana)
Picha hariri
-
Sokwe mtu mashariki
-
Sokwe mtu wa kati
-
Sokwe mtu magharibi