Sophiane Baghdad (alizaliwa 10 Septemba 1980) ni mchezaji wa zamani wa kulipwa ambaye alicheza kama kiungo.[1] Sophiane ni mzaliwa wa Monako, pia ana uraia wa Algeria na Ufaransa.

Marejeo hariri

  1. "Conseil d'administration". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-07-24. Iliwekwa mnamo 2011-02-06.  Unknown parameter |url-status= ignored (help)