Sorapiss ni mlima wa Alpi katika nchi ya Italia (Ulaya Kusini).

Mlima Sorapiss

Urefu wake ni mita 3,229 juu ya usawa wa bahari, hivyo ni wa nne kati ya milima yote ya Dolomiti.

Tazama pia hariri