Souk El Khemis (yaani Soko la Alhamisi) ni mji na jamii kwenye mkoa wa Bouïra, Algeria. Mji upo kwenye 36 ° 23 '17 "n, 3 ° 38' 06.

Mji wa Souk el Khemis, Moroko
Mji wa Souk el Khemis, Moroko

Kutokana na sensa ya mwaka 1998 ilikuwa na idadi ya watu 8,039.

Magofu ya kale ya mji wa Dola la Roma yanayoitwa Talilti yapo karibu na Souk El Khemis.

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Souk El Khemis kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.