South Orange, New Jersey

South Orange Village ni mjini mwa Essex County, New Jersey, Marekani. Na kwa mujibu wa sensa ya Mareakani iliyofanywa katika mwaka wa 2000, mji ulikuwa na idadi ya wakazi wapatao 16,964. Chuo Kikuu cha Seton kinapatikana huko mjini South Orange.

Ukumbi wa kijiji cha Orange Kusini



South Orange
South Orange is located in Marekani
South Orange
South Orange

Mahali pa mji wa South Orange katika Marekani

Majiranukta: 40°44′52″N 74°15′32″W / 40.74778°N 74.25889°W / 40.74778; -74.25889
Nchi Marekani
Jimbo New Jersey
Wilaya Essex
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 16,061
Tovuti:  www.southorange.org

Viungo vya nje hariri