Stanford Moore (4 Septemba 191323 Agosti 1982) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza mfumo wa molekuli za protini. Mwaka wa 1972, pamoja na Christian Anfinsen na William Stein alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.


Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Stanford Moore kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.