Stanslaus Haroon Nyongo

(Elekezwa kutoka Stanslaus Nyongo)

Stanslaus Haroon Nyongo ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Maswa Mashariki kwa miaka 20152020. [1]

Marejeo hariri

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017