Stephen Wasira
(Elekezwa kutoka Stephen Masatu Wasira)
Stephen Masato Wassira (amezaliwa 1945) ni mbunge wa Chama Cha Mapinduzi wa jimbo la Bunda katika bunge la kitaifa nchini Tanzania.[1].
Tazama pia hariri
Marejeo hariri
- ↑ "Mengi kuhusu Stephen Masato Wassira". 18 Februari 2008. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-25. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.
Makala hiyo kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |