Stephen Watson

Mshairi wa Afrika Kusini

Stephen Watson (6 Novemba 1954 - 10 Aprili 2011) alikuwa mwandishi wa Afrika Kusini. Alifundisha Kiingereza katika Chuo Kikuu cha Cape Town. Hasa aliandika mashairi kuhusu mji wake wa Cape Town. Mwaka wa 2011 aliaga dunia baada ya kupatwa na kansa.

Stephen Watson
Amezaliwa 6 Novemba 1954
Cape Town, Afrika Kusini
Amekufa 10 Aprili 2011
Cape Town, Afrika Kusini
Nchi Afrika Kusini
Kazi yake Mshairi

Maandishi yake hariri

  • Poems 1977-1982 (1983)
  • In This City (1986)
  • Cape Town Days (1989)
  • Return of the Moon (1991)
  • Presence of the Earth (1995)
  • The Other City (2000)

Angalia pia hariri

Marejeo hariri

  • Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN 1-86914-028-1
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Stephen Watson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.