Sulaimon Bolaji Adekunle (alizaliwa 26 Oktoba 1990, huko Ibadan) ni mwanasoka wa Nigeria ambaye kwa sasa anachezea Bylis Ballsh katika Superliga ya Albania.[1]

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sulaimon Adekunle kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.