Sura ni umbile la juu la kama vile la mtu au mnyama lililopo usoni, namna au jinsi ya kitu au ni hali ya mtu inayojitokeza usoni.

Sura ya mvulana wa Venezuela.

Kila mmoja ana sura yake maalumu, ambayo mara nyingi inasema juu ya tabia pia.