Mto Surinam ni kati ya mito mikubwa nchini Surinam (Amerika Kusini). Bwawa la Brokopondostuwmeer inagawa mto katika sehemu mbili.

Mto Surinam
Surinamerivier
Mto Surinam karibu na Whitebeach
Chanzo Milima ya Wilhelmina (Surinam)
Nchi Surinam
Urefu 480 km
Kimo cha chanzo 900 m
Tawimito Commewijne
Mkondo m³/s
Eneo la beseni 16,500 km²
Miji mikubwa kando lake Paranam, Paramaribo

Inapita katika mji mkuu Paramaribo.

Viungo vya Nje hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Amerika Kusini bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Surinam (mto) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.