Suzu Amano (alizaliwa 18 Februari 2004) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Japani ambae anacheza kama kiungo wa klabu ya INAC Kobe Leonessa inayoshiriki ligi ya wanawake ya WE League huko Japani. [1][2]

Marejeo hariri

  1. "Suzu Amano". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-06-28. Iliwekwa mnamo 2024-04-26. 
  2. "Scoresheet". weleague.jp. 
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Suzu Amano kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.