Takaungu ni mji wa pwani ya Kenya katika Kaunti ya Kilifi, kati ya Mombasa na Malindi.

Pwani ya Takaungu, Kenya


Takaungu
Nchi Kenya
Kaunti Kilifi
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 1,500