Tegucigalpa (Tegus kwa kifupi) ni mji mkuu na mji mkubwa nchini Honduras.

Jiji la Tegucigalpa
Nchi Honduras
Kanisa Kuu la Tegucigalpa.
Ikulu.
Mfano wa hekalu la Dini za jadi kabla ya kufika kwa Wahispania.

Ina wakazi zaidi ya milioni moja.

Historia hariri

Mji ulianzishwa na Wahispania mwaka 1578 kwa jina la "Real Villa de San Miguel de Tegucigalpa de Heredia" kama kituo cha migodi ya dhahabu na fedha.

Viungo vya nje hariri

 
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Amerika ya Kati bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Tegucigalpa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.