Telemundo

idhaa ya televisheni ya lugha ya Kihispania nchini Marekani

Telemundo ni mtandao wa televisheni wa Marekani unaotumia lugha ya Kihispania unaomilikiwa na NBCUniversal, kitengo cha Comcast. Ilianzishwa tarehe 19 Juni 1984. Makao yake makuu yapo Miami, Florida.

Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Telemundo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.