Teri Bauer ni jina la uhusika wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani maarufu kama 24. Uhusika ulichezwa na Leslie Hope.

Teri Bauer
muhusika wa 24

Leslie Hope kama Teri Bauer
Imechezwa na Leslie Hope
HaliAmekufa
FamiliaJack Bauer, Kim Bauer
Misimu
1
Mionekano MingineHakuna
Maelezo

Katika uhusika hariri

Teri Bauer alizaliwa mnamo mwaka wa 1968.[1] Ni mke wa Jack Bauer na ndiye mama wa Kim Bauer. Ana digrii ya mambo ya upambaji na ubunifu wa mavazi, aliyoipatia katika Chuo Kikuu cha California, na alifanya kazi kama mbunifu wa kujitegemea.

Marejeo hariri

  1. Cerasini, Marc (2003). 24: The House Special Subcommittee's Findings at CTU (toleo la First). Harper Collins. ku. 7. ISBN 0-06-053550-4.