Terror Squad (studio)

(Elekezwa kutoka Terror Squad Entertainment)

Terror Squad (zamani iliitwa Terror Squad Entertainment) ni studio ya kurekodia muziki wa hip hop na R&B iliyoanzishwa na msanii wa hip hop maarufu kama Fat Joe, mjini The Bronx, New York, Marekani.

Terror Squad (studio)
Shina la studio EMI
Imeanzishwa 1992
Mwanzilishi Fat Joe
Usambazaji wa studio Virgin Records
Aina za muziki Hip hop
Nchi Marekani
Mahala The Bronx, New York

Historia hariri

Studio ilianzishwa mnamo mwaka wa 1992. Kazi za studio hiyo zilikuwa zikisambazwa na studio ya Relativity Records na Atlantic Records, lakini sasa, kazi za DJ Khaled zinasambazwa na studio ya Imperial Records na Virgin Records ya EMI.

Vinara waliopo hariri

Wasanii hariri

Watayarishaji hariri

Wasanii wa zamani hariri

Wasanii waliowahi kufanyakazi nao hariri

Albamu za Terror Squad hariri

Zilizotoka Baadaye hariri

  • 2008: Terror Squad - A New Story
  • 2008: Tony Sunshine - Finally
  • 2008: DJ Khaled - We Global