The Score ni jina la albamu mshindi wa Tuzo za Grammy ikiwa kama albamu bora ya R&B na hip hop iliotolewa na kundi la Fugees. Albamu imetolewa dunia nzima mnamo tar. 13 Februari 1996, imeifuata toleo lao la kwanza la mwaka wa 1994, Blunted on Reality. Tangu kutolewa kwa albamu, imepokea sifa nzuri sana kutoka katika vyombo vya habari vya muziki, na leo hii; imekuwa miongoni mwa albamu bora za Hip-hop zilizouza vizuri kwa muda wote kwa kuwa na mauzo zaidi ya milioni 18[11].

The Score
The Score Cover
Studio album ya Fugees
Imetolewa 13 Februari 1996
Imerekodiwa 1995
Aina Alternative Hip-Hop, reggae, R&B
Urefu 73:32
Lebo Ruffhouse, Columbia
Mtayarishaji Fugees
Jerry "Wonder" Duplessis
Salaam Remi
John Forté
Diamond D
Tahakiki za kitaalamu
Wendo wa albamu za Fugees
Blunted on Reality
(1994)
The Score
(1996)


Albamu ina mambo mengi, yaani, muziki umekuwa mbadala, hasa mabadiliko ya muziki wa hip hop mwishoni mwa miaka ya 1990. Miongoni mwa mabadiliko hayo ni pamoja na kuchanganya athira za muziki wa reggae na soul ndani yake, sauti za kike na mistari ya kujijua inalenga matatizo ya kijamii hasa. Suala zima la utayarishaji lilikuwa likishughulikiwa na Fugees wenyewe na Jerry "Wonder" Duplessis, kwa msaada wa Salaam Remi, John Forté, Shawn King, na Diamond D. Mwimbaji mwalikwa kwenye albamu hii ni wale wanachama wa kundi la Outsidaz' Rah Digga, Young Zee na Pacewon na vilevile Omega, John Forté, na Diamond D.

Orodha ya Nyimbo hariri

# Jina Urefu Mtayarishaji (wa) Mwimbaji (wa)
1 "Red Intro" 1:52
2 "How Many Mics" 4:29 Wyclef Jean, Shawn King, Lauryn Hill, Pras, Jerry Duplessis
  • Intro na chorus: Wyclef Jean na Lauryn Hill
  • Mstari wa kwanza: Lauryn Hill
  • Mstari wa Pili: Wyclef Jean
  • Mstari wa tatu: Pras
3 "Ready or Not" 3:47 Wyclef Jean, Lauryn Hill, Pras, Jerry Duplessis
  • Chorus: Lauryn Hill
  • Mstari wa kwanza: Wyclef Jean
  • Mstari wa Pili: Lauryn Hill
  • Mstari wa tatu: Pras
4 "Zealots" 4:21 Wyclef Jean, Lauryn Hill, Pras, Jerry Duplessis
  • Chorus na Mstari wa kwanza: Wyclef Jean
  • Mstari wa Pili: Lauryn Hill
  • Mstari wa tatu: Wyclef Jean
  • Mstari wa Nne:Pras
5 "The Beast" 5:37 Wyclef Jean, Lauryn Hill, Pras, Jerry Duplessis
  • Mstari wa kwanza: Lauryn Hill
  • Mstari wa Pili, Tatu na Tano: Wyclef Jean
  • Mstari wa Nne: Lauryn Hill
  • Mstari wa Sita: Wyclef Jean
  • Mstari wa Saba: Pras
6 "Fu-Gee-La" 4:20 Salaam Remi
  • Mstari wa Kwanza: Wyclef Jean
  • Kiitikio na Mstari wa Pili: Lauryn Hill
  • Mstari wa tatu: Pras
  • Mstari wa Nne: Wyclef Jean
7 "Family Business" 5:44 Wyclef Jean, Lauryn Hill, John Forté, Pras, Jerry Duplessis
  • Mstari wa kwanza na Kiitikio: Omega
  • Mstari wa pili na Tatu: Wyclef Jean
  • Mstari wa Nne na Tano: Lauryn Hill
  • Mstari wa Sita: John Forté
  • Outro: Wyclef Jean na Lauryn Hill
8 "Killing Me Softly" 4:59 Wyclef Jean, Lauryn Hill, Pras, Jerry Duplessis
  • Intro: Wyclef Jean na Lauryn Hill
  • Imeimbwa na Lauryn Hill
9 "The Score" 5:02 Diamond D, Wyclef Jean, Lauryn Hill, Pras, Jerry Duplessis
  • Mstari wa kwanza na wapili: Wyclef Jean
  • Mstari wa tatu: Pras
  • Mstari wa Nne: Lauryn Hill
  • Mstari wa Tano: Diamond D
10 "The Mask" 4:51 Wyclef Jean, Lauryn Hill, Pras, Jerry Duplessis
  • Chorus: Fugees
  • Mstari wa kwanza: Wyclef Jean
  • Mstari wa Pili: Lauryn Hill
  • Mstari wa tatu: Pras
11 "Cowboys" 5:24 Wyclef Jean, Lauryn Hill, John Forté, Pras, Jerry Duplessis
  • Chorus: Wyclef Jean
  • Mstari wa kwanza: Pacewon na Wyclef Jean
  • Mstari wa Pili: Lauryn Hill na Rah Digga
  • Mstari wa tatu: Pras na Young Zee
  • Mstari wa Nne: John Forté
12 "No Woman, No Cry" 4:33 Wyclef Jean, Lauryn Hill, Pras, Jerry Duplessis
  • Imeimbwa na Wyclef Jean
13 "Manifest/Outro" 6:00 Wyclef Jean, Lauryn Hill, Pras, Jerry Duplessis
  • Mstari wa kwanza: Wyclef Jean
  • Mstari wa Pili: Lauryn Hill
  • Mstari wa tatu: Pras
  • Voice: DJ Red Alert
14 "Fu-Gee-La" (Refugee Camp remix) 4:24 Wyclef Jean, Lauryn Hill, Pras, Jerry Duplessis John Forté, Lauryn Hill, Pras, Wyclef Jean
15 "Fu-Gee-La" (Sly na Robbie remix) 5:28 Wyclef Jean, Lauryn Hill, Pras, Jerry Duplessis John Forté, Lauryn Hill, Pras, Wyclef Jean, Akon
16 "Mista Mista" 2:42 Wyclef Jean Wyclef Jean
17 "Fu-Gee-La" (Refugee Camp Global mix) (bonus track) 4:20

Single hariri

Taarifa za single
"Fu-Gee-La"
"Killing Me Softly with His Song" (toleo la Ulaya tu)
  • Imetolewa: 10 Juni 1996
  • B-side: "Cowboys", "Nappy Heads" (Remix)
"Ready or Not"
"No Woman, No Cry" (imetolewa Ulaya peke yake)

Chati ilizoshika hariri

Albamu hariri

Mwaka Albamu Chati iliyoshika
Billboard 200 Top RnaB/Hip Hop Albums
1996 The Score #1 #1

Single hariri

Mwaka Wimbo Chati iliyoshika
Billboard Hot 100 Hot RnaB/Hip-Hop Singles na Tracks Hot Dance Music/Maxi-Singles Sales Rhythmic Top 40
1995 "Fu-Gee-La" #29 #13 #1 #26
1996 "Killing Me Softly With His Song" #2 (Airplay) #1 (Airplay) - #1
1996 "Ready or Not" #69 (Airplay) #22 (Airplay) - #34

Matunukio hariri

Nchi Matunukio Mauzo
Austria Platinum 20,000[12]
Kanada 5x Platinum 500,000[13]
Ulaya 5x Platinum 5,000,000 [1] Archived 11 Oktoba 2008 at the Wayback Machine.
Ufaransa 1x Diamond 1,000,000[14]
Ujerumani Platinum 500,000[15]
Uingereza 4x Platinum 1,200,000[16]
Marekani 6x Platinum 6,000,000[17]

Marejeo hariri

  1. Huey, Steve. Review: The Score[dead link]. Allmusic. Retrieved on 2009-09-21.
  2. O'Donnell, David. Review: The Score. BBC Music. Retrieved on 2009-09-21.
  3. Christgau, Robert. Review: The Score. Robert Christgau. Retrieved on 2009-09-21.
  4. Bernard, James. Review: The Score Archived 9 Agosti 2009 at the Wayback Machine.. James Bernard. Retrieved on 2009-09-21.
  5. Coker, Cheo. Review: The Score. Cheo Hodari Coker. Retrieved on 2009-09-21.
  6. Pareles, John. Review: The Score. John Pareles. Retrieved on 2009-09-21.
  7. The Score, Fugees, Q Magazine, 1996, Aprili, Q Magazine, p. 109.
  8. Nathan, Hoard. Ranking: The Score. Rolling Stone. Retrieved on 2009-09-21.
  9. Reenum, Reenum. Ranking: The Score Archived 11 Januari 2009 at the Wayback Machine.. The Source. Retrieved on 2009-09-21.
  10. The Score, Fugees, Spin Magazine, 1996, Machi, Spin Magazine, p. 31.
  11. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2006-02-09. Iliwekwa mnamo 2009-10-09. 
  12. IFPI Austria - Verband der Österreichischen Musikwirtschaft
  13. "Canadian Recording Industry Association (CRIA): Certification Results". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-01-11. Iliwekwa mnamo 2009-10-09. 
  14. Musique sur Disque en France (SNEP) : Top 50, telechargement legal, droit d'auteur…[dead link]
  15. Bundesverband Musikindustrie: Gold/Platin-Datenbank
  16. The Bpi
  17. RIAA

Viungo vya nje hariri