Theodoreto wa Antiokia

Theodoreto wa Antiokia (alifariki Antiokia, leo nchini Uturuki, 22 Oktoba 362[1]) alikuwa padri aliyefia dini ya Ukristo kwa kukatwa kichwa wakati wa dhuluma ya kaisari Juliani Mwasi wa Dola la Roma[2][3].

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Kanisa la Kiorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 23 Oktoba[4].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

  • "Lives of the Saints, For Every Day of the Year," edited by Rev. Hugo Hoever, S.O.Cist., Ph.D., New York: Catholic Book Publishing Co., 1955, 511 pp.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.