Timoteo wa Mauretania

Timoteo wa Mauretania alikuwa shemasi aliyefia imani ya Ukristo huko Mauretania (leo nchini Algeria) wakati wa dhuluma ya kaisari Diokletian[1].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 21 Mei[2][3].

Pengine wanaunganishwa naye Polius[4] na Eutiki[5] kama mashemasi wafiadini.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.