Tobi ni kisiwa cha Palau. Kiko upande wa Kusini-Magharibi wa kisiwa cha Merir. Eneo la kisiwa ni 0.85 km². Idadi ya watu kisiwani ni takriban 30 tu. Watu wakaao kisiwani kwa Tobi huongea Kitobian.

Kisiwa cha Tobi mnamo mwak 1971
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.