Toluca (jina rasmi: Toluca de Lerdo) ndiyo mji mkuu katika jimbo la Mexico. Iko kati ya nchi Mexiko. Eneo lake ni 420,1 km². Kuna wakazi 747,512, pamoja na mitaa ya jirani rundiko la mji lina wakazi 1,610,786.

Sehemu za Mji wa Toluca, Mexico



Jiji la Toluca
Nchi Mexiko
Jimbo Mexico
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 747,512
Tovuti:  www.toluca.gob.mx

Mji upo m 2,667 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Mji ulianzishwa na Wamatlazincas. Jina ni ya kinahuatl, maana yake ni kilima ya jabari.




Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Toluca, Mexico kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.