Toshiro Mifune (1 Aprili 192024 Desemba 1997) alikuwa mwigizaji na mwongozaji wa filamu wa Japani. Filamu nyingi za Mifune zilikuwa maarufu sana nchini humo na kupendwa na watu wengi duniani kote.

Toshiro Mifune
Faili:Toshiro Mifune in Rashomon 2.jpg
Rashomon

Viungo vya nje hariri

 
WikiMedia Commons
  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Toshiro Mifune kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.