Totowe ni kata ya Wilaya ya Songwe katika Mkoa wa Songwe, Tanzania. Msimbo wa posta ni 53815.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi wa kata walihesabiwa kuwa 6,260 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 11,643 [2] walioishi humo.

Karibu na Totowe visukuku vya dinosauri viligunduliwa na kutolewa katika miaka 2004-2009. Alipewa jina la Mnyamawamtuka moyowamkia kwa sababu mifupa hiyo ilipatikana katika korongo la mto Mtuka unaopita katika eneo la Totowe[3].

Marejeo hariri

  1. https://www.nbs.go.tz, uk 233
  2. "Sensa ya 2012, Mbeya - Chunya DC". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-03. Iliwekwa mnamo 2016-05-29. 
  3. New dinosaur with heart-shaped tail provides evolutionary clues for African continent, tovuti ca Chuo Kikuu cha Ohio, tar 13 Februari 2019
  Kata za Wilaya ya Songwe - Mkoa wa Songwe - Tanzania  

Chang'ombe | Galula | Gua | Ifwenkenya | Kanga | Kapalala | Magamba | Manda | Mbangala | Mbuyuni | Mkwajuni | Mpona | Mwambani | Namkukwe | Ngwala | Saza | Totowe | Udinde


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Songwe bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Totowe kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari .
Usiingize majina ya viongozi au maafisa wa sasa maana wanabadilika haraka mno