Trebonianus Gallus

Trebonianus Gallus (takriban 206 – Agosti 253) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma kuanzia Juni 251 hadi kifo chake. Alimfuata Decius. Kwanza alitawala pamoja na mwana wa Decius, Hostilian. Hostilian alipokufa na tauni, Trebonianus alitawala pamoja na mwana wake, Volusianus.

Shaba inayoonyesha Kaizari Trebonianus Gallus

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Roma bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Trebonianus Gallus kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.