Tume ya UKIMWI Tanzania

Tume ya UKIMWI Tanzania (TACAIDS) ni shirika la kiserikali la Tanzania lililopewa jukumu la kuratibu mwitikio wa Tanzania kwa janga la VVU / UKIMWI.

TACAIDS ilianzishwa tarehe 1 Desemba 2000 kwa tangazo la Rais Benjamin Mkapa.[1][2]

Marehemu Reginald Mengi aliwahi kuwa kamishna wa TACAIDS.[3]

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. "Kuhusu TACAIDS". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-08-08. Iliwekwa mnamo 2021-08-08. 
  2. "Tanzania Commission for AIDS (TACAIDS) – Holtan East Africa Ltd" (kwa en-US). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-08-08. Iliwekwa mnamo 2021-08-08. 
  3. "Dr. Mengi,Executive Chairman of IPP Limited CV and Career Profile". www.ippmedia.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-08-08.