Tungurahua ni mlima wa Andes wenye asili ya volikano ulioko katika nchi ya Ekwador (Amerika Kusini).

Volikano ilivyo.

Urefu wake ni mita 5,023 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia hariri